Nafasi ya upambanaji ipo kwa kila mmoja hivyo zaidi ni muhimu kupeana moyo hasa katika hii industry yetu ya Muziki Tz ili tuweze fika mbali zaidi kimalengo na kuinua taifa letu kupitia vipaji vyetu.